Harmonize Atarudi Lyrics (NEW RELEASE 20/10/2018)

  Harmonize Atarudi Lyrics
  Harmonize Atarudi Lyrics

  Harmonize today just released a new video that is breaking all the charts. It is being regarded as being his best so far. The song goes by the name Atarudi and here are the Atarudi Lyrics

  Mmmmh

  Naye ni mwanadamu

  Na Dunia tunapitaa

  Kama kupata kwa zamu ooh zamu

  Yangu itafikaaa

  Siwezi kana damu

  Kesho wataja nizika

  Ila ningependa afahamu

  Haya mateso alonipaa

  mmmh

   

  Tena mwambieni

  Aloninyima mimi, Ndo kampa yeyeee

  Kupata foreni, nasubiri yangu mimi

  Hata icheleweee

  ooh ohh ohh

  Sina furaha naigiza Ili mladi watoto wasijihisi vibayaa

  Huyu mdogo anauliza

  eti dady, mama ameihama kaya,

  Chakujibu sina nabaki tu kusema

   

  #Aaaaaatarudi

  Atarudi mama, #Aaaaaatarudi

  Anawapenda sana, #Aaaaaatarudi

  Atawaletea zawadi, #Aaaaaatarudi

   

  Atarudi mama, #Aaaaaatarudi

  Atarudi mama, #Aaaaaatarudi

  Anawapenda sana,#Aaaaaatarudi

  Atawaletea zawadi, #Aaaaaatarudi

   

  Siwezi sema sijui tatizo

  Hali yangu duni imefanya ukanikimbiaaa

  Ni vyema ungefanya maigizo

  Mara kumi usinge nizaliaa

  mmmmmmh

  ingali mapenzi pekee

  Ningesema ni changamoto nijifunzee

  Ameniacha mpwekee

  Na watoto niwatunze

  eeeeh!

  ila siwezi mraumu (aaaaah)

  Uenda yupo sawaa (aaaaaah)

  Kipato changu kigumu (aaaaah)

  Kutwa bumunda na kahawa aaaaah

   

  eeeeh!

  ila mwambieni Aloninyima mimi,

  Ndo kampa yeyeee

  Kupata foreni, nasubiri yangu mimi

  Hata icheleweee

  ooh ohh ooooh

  sina furaha naigiza

  ili mladi watoto wasijihisi vibaya

  Huyu mdogo anauliza

  eti dady, mama ameihama kaya,

   

  Chakujibu sina nabaki tu kusema

  #Aaaàaatarudi

  Atarudi mama, #Aaaaaatarudi

  Anawapenda sana, #Aaaaaatarudi

  Atawaletea zawadi,

  #Aaaaaatarudi

  Atarudi mama,

  #Aaaaaatarudi

  Atarudi mama,

  #Aaaaaatarudi

  Anawapenda sana,

  #Aaaaaatarudi

   Atawaletea zawadi,

  #Aaaaaatarudi

  Song by Harmonize

  Lyrics by KenyaBreakingnews.Co.Ke

  LEAVE A REPLY

  Please enter your comment!
  Please enter your name here